Quick Tv Africa Swahili

Waziri Dorothy Gwajima amemu ahidi Makamu raisi wa Tanzania mh.

Waziri wa afya jinsia wazee na watoto Dr. Dorothy Gwajima amemuahidi makamu wa raisi mheshimiwa Samia suluhu ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya maazimisho ya Siku ya magonjwwa adimu duniani yanayo fanyika tarehe 28 February.
Waziri Dorothy Gwajima amesema kuwa anaahidi kuwa wizara yake yake anayo isimamia ya afya maendeleo ya ya jamii jinsia wazee na watoto itaendelea kwa kasi kubwa kushirikiana na wadau wote kuengeneza mpango kazi wa namna ya kuongeza kasi ya kuimarisha huduma za magonjwa adimu nchini ilikuleta usawa na usawia kati ya makundi haya yanayo adhirika na magonjwa haya yajisikie na yenyewe kuwa ni sehemu halali kabisa ya jamij na wanayo pambana nayo kwamba wana tuhusu wrote wasijisikie wanyonge polite pale pia wizara yake itaendelea kushirikiana na wizara ya elimu katika kuhakikisha kwamba wanaboresha huduma hizo.

Mh. Samia Suluhu and faustine Ndungulile

Aidha katika maazimisho hayo makamu wa raisi Tanzania Samia suluhu amemtunuku tuzo waziri we sayansi na teknolojia ya habari mheshimiwa Faustine Ndungulile kwa kutambua mchango wake katika kusaidia ustawi wa watoto wenye magonjwa adimu.

Comments

0 comments

Related posts

IJUE TANZANIA DINI ZAO , UTAMADUNI, MALIASILI NA VITU WANAVYO VIPENDA

Quick Tv Africa

MTU MASHUHURI : DIAMOND PLATINUM ATOA AHADI HII KWA SAMIA SULUHU MAKAMU WA RAISI TANZANIA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Quick Tv Africa

MTU MASHUHURI: QCHIEF AWAOMBA RADHI MASHABIKI BAADA YA KUTOA LUGHA YA MATUSI KWA DIAMOND PLATNUMZ NA SALLAM SK

Quick Tv Africa