Tag: Swahili

Home » Swahili
IJUE TANZANIA DINI ZAO , UTAMADUNI, MALIASILI NA VITU WANAVYO VIPENDA
Post

IJUE TANZANIA DINI ZAO , UTAMADUNI, MALIASILI NA VITU WANAVYO VIPENDA

Tanzania ipo mashariki mwa bara la Afrika huku likiwa limezungukwa na nchi mbalimbaliUpande wa kaskazini imepakana na Kenya na Uganda , huku maghalibi ikiwa imepakana na nchi ya Rwanda , Burundi na jamuhuli ya demokrasia ya Kongo, pia upande wa kusini imepakana na nchi ya Zambia, Malawi, na msumbiji wakati upande wa mashariki kuna bahari...