Quick Tv Africa Swahili

MTU MASHUHURI : DIAMOND PLATINUM ATOA AHADI HII KWA SAMIA SULUHU MAKAMU WA RAISI TANZANIA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Msanii na mkurugenzi wa wasafi media, Diamond platnumz amemuahidi mheshimiwa Samia Suluhu makamu wa raisi Tanzania ambaye alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yaliyo fanyika Leo mlimani city
diamond amesema

“Mheshimiwa mgeni rasmi makamu wa raisi Samia suluhu nikuahidi kuwa kampuni ya wasafi itaungana na serikari katika kuenzi na kudhamini utu na dhamani ya mwanamke katika jamii kwakuwapatia wanawake wote fulsa inayo stahiri ili kuhakikisha wanawake wote nchini wanafikia ndoto zao kimaisha. kwa hayo nakushukuru sana sana kutenga mda wako kwakujumuika na wote hapa lakini pia kikubwa kwasasa wasafi media kupata bahati katika kuadhimisha Siku ya wanawake duniani”.

Eitha katika hafla hiyo diamond platinumz mkurugezi wa wasafi amedhibitisha kuwa wasafi media imeweza kuwaajiri wanawake katika sekta mbalimbali hata zile zilizo zoeleka niza wanawake Msanii na kiongozi huyo amesema kuwa

“katika mfumo wetu wa ajira tumejitahidi sana kutoa fulsa ya ajira kwa idadi kubwa ya wanawake tena kwenye fani adimu ambazo kwa Mara nyingine zimeonekana kama ni za wanaume peke yake wasafi media tuna ma Dj wanawake tuna tx wakike , ma cameraman wakike tuna mpaka madereva ambao ni wanawake “

Comments

0 comments

Related posts

Waziri Dorothy Gwajima amemu ahidi Makamu raisi wa Tanzania mh.

Quick Tv Africa

MTU MASHUHURI: QCHIEF AWAOMBA RADHI MASHABIKI BAADA YA KUTOA LUGHA YA MATUSI KWA DIAMOND PLATNUMZ NA SALLAM SK

Quick Tv Africa

IJUE TANZANIA DINI ZAO , UTAMADUNI, MALIASILI NA VITU WANAVYO VIPENDA

Quick Tv Africa