Category: Quick Tv Africa Swahili

Home » Quick Tv Africa Swahili
IJUE TANZANIA DINI ZAO , UTAMADUNI, MALIASILI NA VITU WANAVYO VIPENDA
Post

IJUE TANZANIA DINI ZAO , UTAMADUNI, MALIASILI NA VITU WANAVYO VIPENDA

Tanzania ipo mashariki mwa bara la Afrika huku likiwa limezungukwa na nchi mbalimbaliUpande wa kaskazini imepakana na Kenya na Uganda , huku maghalibi ikiwa imepakana na nchi ya Rwanda , Burundi na jamuhuli ya demokrasia ya Kongo, pia upande wa kusini imepakana na nchi ya Zambia, Malawi, na msumbiji wakati upande wa mashariki kuna bahari...

MTU MASHUHURI : DIAMOND PLATINUM ATOA AHADI HII KWA SAMIA SULUHU MAKAMU WA RAISI TANZANIA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Post

MTU MASHUHURI : DIAMOND PLATINUM ATOA AHADI HII KWA SAMIA SULUHU MAKAMU WA RAISI TANZANIA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Msanii na mkurugenzi wa wasafi media, Diamond platnumz amemuahidi mheshimiwa Samia Suluhu makamu wa raisi Tanzania ambaye alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yaliyo fanyika Leo mlimani city diamond amesema “Mheshimiwa mgeni rasmi makamu wa raisi Samia suluhu nikuahidi kuwa kampuni ya wasafi itaungana na serikari katika kuenzi na kudhamini utu...

MTU MASHUHURI: QCHIEF AWAOMBA RADHI MASHABIKI  BAADA YA KUTOA LUGHA YA MATUSI KWA DIAMOND PLATNUMZ NA SALLAM SK
Post

MTU MASHUHURI: QCHIEF AWAOMBA RADHI MASHABIKI BAADA YA KUTOA LUGHA YA MATUSI KWA DIAMOND PLATNUMZ NA SALLAM SK

Dar es Salaam. Abubakar Katwila maarufu QChief @official_qchief amewaomba radhi mashabiki na wadau wa muziki nchini Tanzania kwa kutoa lugha chafu dhidi ya msanii mwenzake Nassib Abdul @diamondplatnumz na meneja wa mkali huyo wa wimbo wa Waah  Sallam Sharaf alimaarufu kama @sallam_sk Alilalamika kuwa licha ya picha yake kuonekana hakuwa akilifahamu tamasha hilo na wala...